Saturday, September 21, 2013

Ugonjwa wa migomba ni tishio-Karagwe


Ugonjwa wa mnyauko  unaoshambulia migomba sehemu mbali mbali wilayani karagwe umekuwa tishio kwa wakulima wa zao hilo wilayani Karagwe.

Kufuatia ziara iliyofanywa katika vijiji vya Ibale , na Kachwampale katika kata Isingiro Tarafa ya Kaisho-murongo ilionekana kumalizika kabisa kwa mashamba ya migomba kwa baadhi ya familia ambapo familia hizo zinaishi kwa kuemea kamavile maisha ya mjini. Endelea kusoma

No comments:

Post a Comment