Saturday, September 21, 2013

Uzalishaji wa Miche ya Migomba Kwa Njia ya Chupa

Wakati mahitaji ya ndizi yanaongezeka kila mwaka kutokana na ongezeko kubwa la idadi ya watu, matatizo ya viatilifu yameongezeka sana. Kwa asili, migomba hupandwa kwa kutumia machipukizi ambayo hung’olewa kutoka shambani toka kwa mmea mama. Njia hii inahusika sana katika kueneza viatilifu kutoka sehemu moja hadi nyingine. Matumizi ya njia ya asili pia hayafanikishi upatikanaji wa miche mingi kwa mara moja. 
Hivyo, inachelewesha uanzishaji wa mashamba makubwa, hasa yale ya kibiashara. Uzalishaji wa miche kwa njia ya chupa huepusha matatizo/mapungufu ya njia ya asili. Endelea Kusoma

No comments:

Post a Comment